FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Naitwa Mhiri Obore kutoka Igoma mwanza nawatakia draw timu yangu pendwa ya Mo Simba, ujumbe Mangungu tuachie timu yetu
1709374007254.jpg
 
Yanga msijisahaulishe mmegongwa kimoja cha mbwa....
Yanga kaingiaje tena hapo?
We pambana na hali yako tu, usimshirikishe yanga.

Yanga yuko paleeeee anaunoa, anamsubiri shangingi yeyote aingie gheto.
 
Mechi ipo miguuni mwa Mwamba wa Lusaka... Pia long balls za MT Fabrice Ngoma kupasua mistari miwili.... Sarr au Kanoute mmoja aanzie benchi....

Mkalimani Mchezaji Saido akiingia dakika za 70 atakua na impact kuliko kuanza....
 
Back
Top Bottom