FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Nawe ni mjanja unajua jinsi ya kula na kipofu.

Lengo lako tushalijua ni kwamba unataka umpune muhindi peke yako so unatoa mkeka feki ili uwaingize chaka wenzako.

Bahati mbaya na wenzako pia wanajua kutafsiri mambo, hawabeti mpaka waone mkeka wako.
Nimecheka sana wallah. Ukweli anujua kwamba mnyama anashinda kwa kishindo ila kwa makusudi anataka kuwaingiza watu chaka ili ambutue muhindi peke yake.
 
Mabingwa wa kutabiri mechi za watu tabirini na hii....... Leo Chama hasipo cheza namba kumi mnadroo.
 
Mambo yanajirudia Tena..
FB_IMG_1709366541308.jpg
 
Back
Top Bottom