Friends of Horoya mnawasili sio, mbona hamkuwapokea airport?πππNaiona sare, daah inauma sana
Kibu ni jembe sana, trust me......hard workerIle nafasi ya kibu ilikuwa ni phiri pale dah
Kibu ili kufunga goli Moja anahitaji nafasi SITA Hadi Saba wakati phiri nafasi Moja hiyo hiyo anaweka.
Mechi ya muhimu sana hii.Mnyama anahitaji utulivu sana kwenye hii mechi...ikiwezekana asiruhusu kufungwa goli la mapema lisiwatoe mchezoni ila mnyama akiweza kupata goli ndani ya dk 45 itakuwa faida sana kwa utulivu wa timu.
π€£π€£π€£π€£π€£Kesho wajua venye tutafanya...
Wee tutakie lolote mrembo najua moyoni unajua unachotaka kutufanyia π π π π π
Hewalaaaaa π π ππ€£π€£π€£π€£π€£
Basi liwapate lolote linalowastahili mtani.
Ngoja tuuone huu mpango utaendaje. Ndo kocha.Ila huyu kocha wa simba anatuonaje sisi kwamba hatujui mpira au! Sasa game kubwa kama hii Kibu wa nini? Halafu anamchezesha ntibazonkiza katikati No 10 na chama anacheza kama winga sijui huu mfumo kautoa wapi, siku zote chama anakuwa na madhara akitokea katikati na sio pembeni anakomchezesha.
Kocha ni muumini wa mpira wa nguvu na speed, ndio maana Kibu anaanzaIla huyu kocha wa simba anatuonaje sisi kwamba hatujui mpira au! Sasa game kubwa kama hii Kibu wa nini? Halafu anamchezesha ntibazonkiza katikati No 10 na chama anacheza kama winga sijui huu mfumo kautoa wapi, siku zote chama anakuwa na madhara akitokea katikati na sio pembeni anakomchezesha.