FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Ile nafasi ya kibu ilikuwa ni phiri pale dah

Kibu ili kufunga goli Moja anahitaji nafasi SITA Hadi Saba wakati phiri nafasi Moja hiyo hiyo anaweka.
 
"Kwa matokeo haya basi tena,mwaka huu tumekosa ubingwa na kucheza robo "

Maneno ya shabiki mwenye hasira kali baada ya sare na Horoya
 
Ile nafasi ya kibu ilikuwa ni phiri pale dah

Kibu ili kufunga goli Moja anahitaji nafasi SITA Hadi Saba wakati phiri nafasi Moja hiyo hiyo anaweka.
Kibu ni jembe sana, trust me......hard worker

Guvu moya 😀
 
Nusu mtu nusu chuma akiwasili Lupaso
A8014A62-6CD5-48AE-BA95-55426DFDA317.jpeg
 
Mnyama anahitaji utulivu sana kwenye hii mechi...ikiwezekana asiruhusu kufungwa goli la mapema lisiwatoe mchezoni ila mnyama akiweza kupata goli ndani ya dk 45 itakuwa faida sana kwa utulivu wa timu.
 
Mechi ya muhimu sana hii.
 
Kesho wajua venye tutafanya...
Wee tutakie lolote mrembo najua moyoni unajua unachotaka kutufanyia 😆 😆 😆 😆 😆
🤣🤣🤣🤣🤣
Basi liwapate lolote linalowastahili mtani.
 
Ila huyu kocha wa simba anatuonaje sisi kwamba hatujui mpira au! Sasa game kubwa kama hii Kibu wa nini? Halafu anamchezesha ntibazonkiza katikati No 10 na chama anacheza kama winga sijui huu mfumo kautoa wapi, siku zote chama anakuwa na madhara akitokea katikati na sio pembeni anakomchezesha.
Ngoja tuuone huu mpango utaendaje. Ndo kocha.
 
Ila huyu kocha wa simba anatuonaje sisi kwamba hatujui mpira au! Sasa game kubwa kama hii Kibu wa nini? Halafu anamchezesha ntibazonkiza katikati No 10 na chama anacheza kama winga sijui huu mfumo kautoa wapi, siku zote chama anakuwa na madhara akitokea katikati na sio pembeni anakomchezesha.
Kocha ni muumini wa mpira wa nguvu na speed, ndio maana Kibu anaanza
 
Back
Top Bottom