Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wenye kelele wanacheza keshowenye kelele mtaani
horoya hayupo mtaani kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye kelele wanacheza keshowenye kelele mtaani
horoya hayupo mtaani kwetu
Walipewa data na watesi, kwahivyo wamekuja usiku tena kimya kimyaHivi Horoya wenywe walikuja kweli mbona kimya sana
Sijaelewa unachotaka kumaanishaComments zaidi ya 63 ila ni jumbe 5 tu zilizoitakia Simba ubaya.
Huu ndiyo utofauti mkubwa sasa kati ya Makolokolo na Yanga.
Nguvu moja. Na iwe hivyoLupaso kulipuka leo kwa Simba Sports, kupata ushindi mnono dhidi ya Horoya
Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, na unachezwa kwa dakika 90. Atakayecheza vizuri atashinda. Atakayefanya makosa, ataadhibiwa.
Si mnajua kesho na nyie mnalo mnahifadhi maneno?? La sivyo hakuna lolote...utopoloComments zaidi ya 63 ila ni jumbe 5 tu zilizoitakia Simba ubaya.
Huu ndiyo utofauti mkubwa sasa kati ya Makolokolo na Yanga.
Hata wewe unaona haiwezekani ila unaamua tu kujifariji
Mzamiru mmoja = Aucho + Mudhathir (rejectee wa Azam) + Litombo combinedKwa Timu Gani Mlokuwa Nayo Nyie Zuwena FC, Mzamiru, Kyombo, Bocco Na Sawadogo Ndio Wanawapa Kiburi Sio?
Kama walikuja basi alhamdullilah, hilo ndo muhimu mengine yote mbwembweWalipewa data na watesi, kwahivyo wamekuja usiku tena kimya kimya
Nimechungulia vibuyu nimeona Mnyama akitamalaki nyumbani kwa ushindi mnono wa mbili bila