FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Hivi Azizi ki pale utopoloni alisajiliwa kwa shughuli ipi, mbna tuna muona anatema mate tu la maana hakuna ?
 
Hivi lile sakata la sportpesa na kile kikundi cha wahuni liliishaje,,
 
Hivi Horoya wenywe walikuja kweli mbona kimya sana
Simba wameamua kwenda kimyakimya mkuu.Hata wapinzani ,haya mambo ya makelele yamekuwa na negative results kwao. Horoya wapo
 
Simba wameamua kwenda kimyakimya mkuu.Hata wapinzani ,haya mambo ya makelele yamekuwa na negative results kwao. Horoya wapo
Alaa kimya sana mpaka nikawa najiuliza wapo kweli ?
 
Mzamiru mmoja = Aucho + Mudhathir (rejectee wa Azam) + Litombo combined

Huyo Mpiga Pasi Mkaa Umfananishe Na Aucho Tema Mate Chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Eti Kiungo Punda, Midfielder Full Kupiga Incomplete Pass Mamakee Walahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom