FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Matumaini ni makubwa Ila tucheze kwa tahadhari kubwa. Maandalizi ya kisaikologia ni muhimu... tusije kutwa na yale ya Stella Abidjan, Libolo, Galaxy, na Raja.
 
Nimechungulia vibuyu nimeona Mnyama akitamalaki nyumbani kwa ushindi mnono wa mbili bila

Mungu ulituagiza na kusema asiyefanya kazi asile, ila afanyaye jitihada ya kazi na ashinde. Mungu abariki kazi ya vibuyu ifanikiwe.

Nawatakia mema Simba & Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…