Kwakuwa simba ina wachezaji wanne tu sio ?Kwa Timu Gani Mlokuwa Nayo Nyie Zuwena FC, Mzamiru, Kyombo, Bocco Na Sawadogo Ndio Wanawapa Kiburi Sio?
Nenda kwenye page ya horoya uwaandikie duwaaa zakoMungu ibariki Horoya Ac, ikashinde sawa sawa na mapenzi yako....Amen
Me pia nawaombea Yanga keshoKila lakheri Watani. Mkishinda nyie imeshinda Tanzania.
🤣🤣🤣 SipangwingwiNenda kwenye page ya horoya uwaandikie duwaaa zako
Hapa wapenzi wako hawazioni...🤣🤣🤣 Sipangwingwi
WanazionaHapa wapenzi wako hawazioni...
Simba wameamua kwenda kimyakimya mkuu.Hata wapinzani ,haya mambo ya makelele yamekuwa na negative results kwao. Horoya wapoHivi Horoya wenywe walikuja kweli mbona kimya sana
Alaa kimya sana mpaka nikawa najiuliza wapo kweli ?Simba wameamua kwenda kimyakimya mkuu.Hata wapinzani ,haya mambo ya makelele yamekuwa na negative results kwao. Horoya wapo
Roho mbaya yangu ni ipi hapo? Kuiombea mema timu yangu nnayoipenda tangu utotoni?Mmmmh jamani wewe Eva! Haufananii roho mbaya
Ww tangu lini ukawa Horoya?Roho mbaya yangu ni ipi hapo? Kuiombea mema timu yangu nnayoipenda tangu utotoni?
this is joke bro [emoji16][emoji16]Mzamiru mmoja = Aucho + Mudhathir + Litombo combined
Siku hizi kamati ya mapokezi haitimizi vizuri majukumu yake! Au kwakuwa na wao wanashirikiHivi Horoya wenywe walikuja kweli mbona kimya sana
Mzamiru mmoja = Aucho + Mudhathir (rejectee wa Azam) + Litombo combined