[emoji22][emoji22][emoji22]unatia huruma haki ya Mungu[emoji1787]Wameshinda goli moja ila Mtaani shangwe kibao utafikiri lulu katoka jela
Wangeshinda 4 kama sisi je ingekuwaje?
Afu goli lenyewe tumefunga sisi...Daaah
Ingawa si mshabiki ila hao vinyangarika vinaniudhi na Simba yao. Kumbe yanga imenifurahisha maana nilidhani watafungwa 10.Ahsante Mkuu. π
Ndo unaongea na simu? πππDaah hii mat h tumepoteza aisee
Ikipita hii nayo mtasema bado kwenye ngao ya jamii. Lol.Kinakuja tar 25
Basi kwa goli 4 watoto wanabidi wawe 48Nguruwe goli 1 watoto 12, hata wewe mwenyewe kutungika kwa kijusi chako na kuzaliwa kiumbe hai ni matokeo ya goli 1 tu.
Wameshinda goli moja ila Mtaani shangwe kibao utafikiri lulu katoka jela
Wangeshinda 4 kama sisi je ingekuwaje?
Afu goli lenyewe tumefunga sisi...Daaah
Kichwa chini miguu juuSasa naingiaje mtaani
Kunguni kumnyea mtu sio shabahaKiko wapi sasa. πππππ
Kuna comeback kigoma inakuja ile ndo funga biashara.
Soma tena ulichoandika, inaonekana kama unatetemeka wakati unaandika.Kunguni kumnyea mtu sio shabaha
πππ na 500k zangu mapema niko mwepesiMuheshimu Sana mtu anaye bet, narudia tena, Muheshimu mtu anayebet, ile sio kazi ya kitoto
Yamekuwa hayo?Nyie mashabiki wa baada ya matokeo tunawajua, mnakuja kwa timing mkifunhwa manasepa speed kama kunguni kaona mwanga