FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Mganga wa Yanga yuko vizuri sana.huyo mganga msimuache.ila pia hicho ndio kiwango halisi cha simba.zile zingine za pira biriani huwa ni mbwembwe tu za washereheshaji.Ila pia kocha wa simba ana tatizo sana lakutobadilisha mfumo pale timu inapokua inahitaji matokeo.Ni wakati wa simba kubadilika kama kweli wanataka kufika mbali.Yanga hongereni.
 
Simba waliingia uwanjani na matokeo, ona sasa sura zao zilivyowashuka kwa fadhaa.
tapatalk_1577972148853.jpg
 
Leo baada ya saa moja jioni, kutakuwa na uhaba wa hali ya juu wa dicloper na Panadol,
Mashabiki wa yanga watazinunua kwa fujo kupooza maumivu!!! Watakuwa wanazibugia kumi kumi!!
Guess who needs em diclopers now? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SOV34 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom