Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Mutakunya mavi ya kila rangi leo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tatizo Simba tunataka goli la mauzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mutakunya mavi ya kila rangi leo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tatizo Simba tunataka goli la mauzo.
Kabisa mkuu acha nitie huruma[emoji22][emoji22][emoji22]unatia huruma haki ya Mungu[emoji1787]
Kwani mechi ya mwisho kule Zanzibar si tuliwatandikeni nyie, au umeshasahau?Daah! yaani jamani leo tunafungwa na yanga!!!??
Vaa pampasi mkuuuYani hapa nimesha hara mara tatu. Huu ushabiki wa mpira utaniuwa [emoji25][emoji25]
Tatizo katiba mpya ina vipengele vya kuididimiza Yanga..Kabisa mkuu acha nitie huruma
Hivi mama samia ndo wakutuambia maneno yale kuhusu katiba kweli?
Alafu wananchi wakiliona kombe ndio wanakua balaa kinoma.Uto msichekelee sana kagoli cha mganga, tar 25 tukutane tena ASFC patakuwepo na kombe siku hiyo
Tumeliwa
Guess who needs em diclopers now? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo baada ya saa moja jioni, kutakuwa na uhaba wa hali ya juu wa dicloper na Panadol,
Mashabiki wa yanga watazinunua kwa fujo kupooza maumivu!!! Watakuwa wanazibugia kumi kumi!!
Binti naomba no za mganga wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba wapo mikumi nyie huku majumbani mnafanya nini? subiri leo ni Kimoko tu kinawatosha[emoji23]
Hawa simba robo fainali caf wanafikaje? Mbona kama mwadui tuMupunguze kutudharau sasa.
Naona wenyewe mmeomba geti lifunguliweWakiingia geti lifungwe