Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Kwani hujui kua Raisi ni wa wananchi wote.Gundu lilianza baada ya Rais kuja uwanjani..Simba tuna gundu Sana na hiki cheo
Sasa tangu lini Simba akawa mwananchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujui kua Raisi ni wa wananchi wote.Gundu lilianza baada ya Rais kuja uwanjani..Simba tuna gundu Sana na hiki cheo
Muulize na ww maana me hawanielewi kabisaaa[emoji3]
[emoji1787][emoji1787]..heshima yako mkuuSatoh Hirosh nakusalimia kwa jina la jamhuri ya muungano, Itikiaa kipigo kiendeleeee.....
nikiacha ushabiki Leo mmecheza Mpira mzuri Sana watani zangu hongera SanaMmevishwa ninyi leo
Mwishoni mmeanza kushikana uchawi, Simba ni kikundi cha wahuni tu hakuna timu paleBocco
Mugalu
Kagere
Wawa
Onyango
Hawa tuachane nao msimu ujao
I agree with youMwishoni mmeanza kushikana uchawi, Simba ni kikundi cha wahuni tu hakuna timu pale
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
punguza moto 😀 😀 😀
😀 😀 😀 😀jinsi Manara alivyoniaminisha kuwa tunawapiga za kuotosha tena mwingiKichwa chini miguu juu
Hivi kesho tule biriani au pilau?Kiko wapi sasa. 😂😂😂😂😂
😂 😂 😂 😂[emoji1787][emoji1787]..heshima yako mkuu
Leo wewe tamba Tu,hakuna namna
Salute kwako mtaniView attachment 1839057
Mida hii tushakula biriani kesho pilau tu. 😂😂😂Hivi kesho tule biriani au pilau?