Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona sisi wakamua Alizeti, hatunaga utani tumewapaka mafuta makolo, wamelainika wenyewe... uliza kilichofatia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣SBS washalezesheshewa mafuta mkuu 😂
Sijakosea namaanisha Opah mchezaji wa Simba Queens ni striker bora kuliko Mayele na KibuHuku kuchanganyikiwa sasa. Hapa ulitaka kuandika Okra au nikuache unateleza na mafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Ipah anatokea nchi gani? 😃Sijakosea namaanisha Ipah mchezaji wa Simba Queens ni striker bora kuliko Mayele na Kibu
Wanaleeeeeeza 😂😳Umeona sisi wakamua Alizeti, hatunaga utani tumewapa mafuta makolo, wamelainika wenyewe... uliza kilichofatia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naona mmeanza kusema ukweli.Nawasiwasi na uwezo wa mgunda, mechi ngumu zote hajapata ushindi. Ukianza na Kmc, Azam, Yanga na leo singida. Tusipumbazwe na matokeo ya cafcl njia tuliyopitia ni nyepesi sana
uko sahihiSijakosea namaanisha Opah mchezaji wa Simba Queens ni striker bora kuliko Mayele na Kibu
Yani yanakesha kabisaInakamia mechi eeh!?
Hovyo sana yaani