FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Nawasiwasi na uwezo wa mgunda, mechi ngumu zote hajapata ushindi. Ukianza na Kmc, Azam, Yanga na leo singida. Tusipumbazwe na matokeo ya cafcl njia tuliyopitia ni nyepesi sana
Acheni zenu bwana, lete mgunda. Atatoboa tuu
 
Mnaotucheka hapa, baadaye msije na dhana ya kiujamaa kusema uzalendo

Ili siku iwe mbaya kwetu ni kuwa na hakika kuwa nyinyi mtashinda

Tukifungwa tutakuwa tumepoteza points 3 basi nyinyi mnabidi mshinde ili muwe na siku nzuri zaidi

Kwasababu mkifungwa mtakuwa mmepoteza points 3 na millions of money pamoja na CV mbovu

Pia hamtaishia hapo tu hata safari ya kocha itakuwa mwisho wake ndio hapo, wale vibopa mliokuwa mnawasifia wote wataonekana wana damu ya mandonga tu
Basi utusamehe mkuu, haturudia tena kuwacheka. Sisi ni wazalendo wenzenu. 😛
 
Nawasiwasi na uwezo wa mgunda, mechi ngumu zote hajapata ushindi. Ukianza na Kmc, Azam, Yanga na leo singida. Tusipumbazwe na matokeo ya cafcl njia tuliyopitia ni nyepesi sana
😂😂😂

Juuuuuuuuuuuuma Mguuuuuuuuuuuunda

Goal kick
 
Nawasiwasi na uwezo wa mgunda, mechi ngumu zote hajapata ushindi. Ukianza na Kmc, Azam, Yanga na leo singida. Tusipumbazwe na matokeo ya cafcl njia tuliyopitia ni nyepesi sana
yamekuwa haya
 
Phiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiriiiiiiiiiiiii

Goooooooooooooooal

Kick
 
hivi hawa ma fwd wa nyau huwa hawa pitii hata clip za yanga kuona mayele,.faisal wanafanyaje wakiwa mbele ya lango la mpinzani
 
Back
Top Bottom