FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Japo hatuchezi vizuri, ila hii game bado uwezekano wa kushinda ni mkubwa sana Kwa Simba.. toa Kibu weka kyombo, toa sakho weka Banda
Sako na banda ni pande mbili kwenye shilingi moja very Average player
 
Mgunda anakazi kubwa sana kushawishi kuwa ni kocha sahihi kwa Simba kwa hii consistence yake

Matambo pekee waliobaki nayo Simba ni makundi CAF ambayo kimsingi yanaanza kukosa mashiko kama kila mwaka tutakua tiamaji tiamaji ligi ya ndani

Simba wamekua na historia mbaya sana ya kufanya vizuri kwenye game ikiwa na pressure kama hii
Simba wakikuwahi goli utawapenda lakini wakitanguliwa wao khaaaa
 
Usiwaze mrembo Lunyasi tutarudisha na kuongeza Cha pili.. Simba nguvu moja
Labda mwamuzi awape kadi nyekundu wachezaji wawili wa Singida Big stars, kama ilivyotokea kwenye mechi na Mtibwa.

Kinyume na hapo, kichapo kiko palepale.
 
Back
Top Bottom