FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Daaaaah
Naona dalili ya mikeka kuchanika😕😕😕
 
Azam nawaona mara nyingi hawatoi replay kama kuna tukio la penati halafu refa hajatoa. Waache ukuda Simba inawaingizia pesa nyingi sana.
ni aibu lile tukio wamelirudia jamaa kajiangusha angefanya nini zaidi ya kujilaza maana uwezo wa kupenya hana
 
Nicheke saizi nikucheke baadaye

Ila kumbuka anayecheka baadaye hucheka vizuri kuliko yule aliyetangukia awali
Bro daily nakuambia simba kiungo hamna kitu kanoute kazidiwa vitu na ndemla
 
Simba wanatakiwa kuongeza pressure ya mashambulizi, hawa Singida hawana lolote jipya, ni kuwalazimisha kufanya makosa watalegea wenyewe.
Hiyo presha ya mashambulizi kwenye viwanja vya Mikoani mnaitoa wapi? Halafu kwa timu ambayo ina professional wengi kama Singida big stars kweli!!
 
Tukiongea simba kiungo hakuna mnatuona wachawi

Kumtegemea kanoute mnapoteza mda huyo mchezaji ni takataka

Hana creativity wala vision.
Kutoka "PUTIN" mpaka "TAKATAKA"
 
Back
Top Bottom