FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Azam nawaona mara nyingi hawatoi replay kama kuna tukio la penati halafu refa hajatoa. Waache ukuda Simba inawaingizia pesa nyingi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Malalamiko ya kijinga haya
 
45+2' Kuelekea kuwa mapumziko

Wameanza kulala kama Waarabu

Wanapiga mbele lakini Simba wanaokoa, haya mpira upo katikati ya dimba

Naaam mpira ni mapumziko ambapo Singida Big Stars wapo mbele ya bao moja dhidi ya Simba SC

HT: Singida Big Stars 1-0 Simba SC
 
45+2' Kuelekea kuwa mapumziko

Wameanza kulala kama Waarabu

Wanapiga mbele lakini Simba wanaokoa

Naaam mpira ni mapumziko ambapo Singida Big Stars wapo mbele ya bao moja dhidi ya Simba SC
Na nyie laleni hamjazuiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom