ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Yote ni sawaNi kweli Singinda ni wazuri lauku kufungwa au kutanguliwa bao
Tungefungwa bao tukiwa katika high performance nisingeona tatizo hapo ni football imeamua
Ila kwa performance hii ya leo nashindwa kujua ni pengo la Chama, uwanja mbaya au ni kwasababu tumekaa siku nyingi bila kucheza mechi ili kuwa na fitness nzuri?