FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

40' Kapombe anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa mchezo mbaya

Msaka wa kutafuta bao la kusawazisha unaendelea hapa Liti
 
Natamani wafungwe mpaka basi! Maana wamechonga sana wiki hii kuhusu Yanga, huku wakisahau wana kimeo chao na Singida Big Dtars.
InshaAllah. Niliwaambia asubuhi mbio mbio kuanzisha uzi wa Yanga wa saa mbili usiku huku wakisahau wana tukio lao saa 10.

Na usishangae ndo ikatoka hiyoo. 🤣 🤣 🤣
 
Azam nawaona mara nyingi hawatoi replay kama kuna tukio la penati halafu refa hajatoa. Waache ukuda Simba inawaingizia pesa nyingi sana.
 
Goooooooooooooooooooooaaaaalllll

Kick

Moses Phiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiriiiiiiiiiiii
 
Kona inapigwa kuelekea Singida Big Stars

Inapigwa kuleee lakini Mkude kichwa chake mpira unatoka nje.
 
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kuvurumishwa leo November 9, 2022 kwenye Uwanja wa Estadio de Liti mkoani Singida ambapo Walima Alizeti Singida Big Stars ambao ni wenyeji, wanamkabili vikali Mnyama Mkali Mwituni Simba SC

Mechi inatarajiwa kuwa ni ngumu sana na ya kusisimua kwa muda wote wa mchezo kutokana na kila timu kufanya maandalizi ya kutosha ili kuweza walau kupata ushindi dhidi ya mpinzani wake.

Timu zote zina alama 17 kwenye msimano wa Ligi Kuu lakini wakiwa nafasi tofauti kutokana na mabao ya kufunga na kufungwa, hivyo basi tutegemee kuona ushindani wa kweli na burudani ya aina yake ndani ya dakika 90 za jasho na damu.

Kumbuka mchezo kwa saa za Afrika Mashariki ni kuanzia saa 10:00 Alasiri.. Usikose Ukapata Simulizi Jikite Hapa Hapa JF

...Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana...

==========

01' Kabumbu limeanza uwanja wa Liti, Singida

07' Phiri anafika lango la Singida, mpira unaenda pembeni ya lango. Goal kick.

09' Singida wanapata kona, inaingizwa kati bila kuzaa matunda

11' [emoji460] Deus Kaseke anaiandikia Singida bao la kwanza, Singida 1-0 Simba
Mkuu updates zaidi. Naona umeishia goli lilipoingia dakika ya 11 sasa yakaribia halftime [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom