FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Mihogo FC ucheze kama wao halafu uishie kupigania nafasi ya kuingia makundi ya losers Cup
kichaka pekee mlicho baki nacho ni hiki, unasahau mwaka jana umechecheza shirikisho
 
Na nikafika robo fainali,haya ya losers cup ni maneno ya msemaji wenu au unataka kusahau nani muasisi wa 'losers cup'?
 
Hivi simba bado mnategemea kibu Denis sehemu ya stricking Force.?
 
Mchezo wanaocheza Simba kuna dalili kubwa tukalala. Unahitaji dakika 15 tu kujua Simba inashinda au inafungwa. Pasi mkaa na uvivu/kutojituma leo kutaigharimu Simba. Kibu Denis hajaonyesha kabisa kwamba ana nia ya kupigania namba kwenye kikosi cha kwanza.
 
kuna penati kama mambo yakiwa magumu
 
29' Penalty mwamuzi anasema hapana, mpira unaendelea
 
Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbweeeeeeeeeeee Jr

Dakika 30'

SBS 1-0 Simba
 
Back
Top Bottom