FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Dakika 20' za Motooooooooooooooo mafuta yanachemkaaaa

Kaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeekeeeeeeeeeee
 
Simba SC wanapata Kona mbili mfululizo ambazo hazikuzaa bao

Kichwa cha Phiri kinagonga Mlingoti
 
Viwanja vya mikoani unatakiwa uwe vizuri kwenye kupiga faulo, kona na mashuti.
 
23' Inapigwa Kaunta mbele kuleee, lakini golikipa Beno anatokea na kudaka
 
Hii ishu ya kukaa siku 7 bila mchezo ndio imesababisha performance hii
 
Mipira inapotea afu bado wanafosi kupiga long passes
 
Back
Top Bottom