FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Sakho sio mpigajinwa kona, pengo la Chama linaonekana
 
Goooooooooooooooaaaaaaaaaaaaallll

Kick

Medie Kagere
 
Chama hana replacement,kati mmejaza viungo wote wagumu hawana creativity bora no 10 angecheza Okrah.

Ila yote yame yataka TFF.
 
Juma Mgunda amesimama mikono mfukoni pale
 
Hawa wajinga kila siku wanaambia juu ya kuuchezea mpira hovyo nyuma kwa lengo la kutaka sifa hatimaye kachoma
 
hii timu inapambwa na wachambuzi ila ni timu yenye uwezo mdg mnoooo
 
Back
Top Bottom