FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Kikosi
FhHtn7yWIAA-7Ry.jpg
 
Kuna mijitu haijui mpira halaf inapata bahati ya kuchezea timu kubwa shenzi kabisa huko mlipo Kibu na Kyombo
 
Rachel..!? Anapatikana kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kuna Joyce na Lomalisa pale Utopolo. Labda wale wapaka mkorogo kuna mmoja anaitwa Rachel.

Pia kuna Ashura cheupe mhamasishaji wa timu ya ligi kuu

Sasa huyo Rachel wa Singida simjui
 
Vikosi vyote vya Singida Big Stars na Simba SC kwenye mchezo wa leo.
Screenshot_20221109-154657~2.jpg
Screenshot_20221109-154713~3.jpg
 
Uwanja wa Estadio de Liti umejaa kwa mashabiki kufulika vilivyo

Timu zinaingia uwanjani tayari kuanza kwa mchezo
 
Wakati wowote mpira utaanza Uwanja wa Liti, Refa Sasii naangalia saa yake.

00' Naaam mpira umeanza | Singida Big Stars 0-0 Simba SC
 
Back
Top Bottom