FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Kama kawaida yangu, jicho langu kwa mzamiru, game iliyopita wapinzani walikula umeme so sikuweza kumjadili saana, ngoja tuone leo.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Imekuwaje kuwaje hapa kwenye hii interception ya Sakho
 
Mgunda kachezesha double striker nuona Kibu na Moses Scars Phiri
 
05' Simba SC wameweza kumiliki mchezo lakini hakuna hatari yoyote kwenye lango la Singida Big Stars

Singida Big Stars 0-0 Simba SC
 
Almanusura Simba SC wapate bao kupitia kwa Phiri, mguu wake unashindwa kulenga lango
 
Kona ya kwanza kwa Singinda na kona ya kwanza ya mchezo
 
10' Singida Big Stars wanapta Kona ambayo haikuzaa bao | Singida Big Stars 0-0 Simba SC
 
Gooooooooooooooooaaaaaaaallllllllll

SBS 1-0 Simba
12'
Deus Kaseke
 
Kaseke Goooooooooooooaaal

Singida Big Stars wanapata bao la kwanza kupitia kwa Kaseke | Singida Big Stars 1-0 SIMBA SC
 
Gooooal Singida wanatangulia hapa
 
Back
Top Bottom