FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Ni kweli Singinda ni wazuri lauku kufungwa au kutanguliwa bao

Tungefungwa bao tukiwa katika high performance nisingeona tatizo hapo ni football imeamua

Ila kwa performance hii ya leo nashindwa kujua ni pengo la Chama, uwanja mbaya au ni kwasababu tumekaa siku nyingi bila kucheza mechi ili kuwa na fitness nzuri?
Acha visingizio mngekuwa taifa mngeaibika ndiyo maana Azam tukawaita mlipopazoea kwa mkapa
 
Hiyo presha ya mashambulizi kwenye viwanja vya Mikoani mnaitoa wapi? Halafu kwa timu ambayo ina professional wengi kama Singida big stars kweli!!
Professionals wako Simba SC, hao wengine mitumba tu.
 
Back
Top Bottom