FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Mtanuonea simba ina kikosi very poor kanoute hana Quality ya kukaa kiungo simbaMgunda anakazi kubwa sana kushawishi kuwa ni kocha sahihi kwa Simba kwa hii consistence yake
Matambo pekee waliobaki nayo Simba ni makundi CAF ambayo kimsingi yanaanza kukosa mashiko kama kila mwaka tutakua tiamaji tiamaji ligi ya ndani
Simba wamekua na historia mbaya sana ya kufanya vizuri kwenye game ikiwa na pressure kama hii
Simba wakikuwahi goli utawapenda lakini wakitanguliwa wao khaaaa