Leo esparance de tunis mahasimu wao wanakipiga na mihogo fc. Aise pale rhades ni noma jooooo.....utapigwa mpira hatari japo masikia kocha alisharogwa na mzee mpiliKikubwa hatujapoteza hivi vitimu vidogo vidogo ni kazi sana kuchezq navyo..Tushazoea kucheza na wakubwa wenzetu kina Esperance de tunis π π π π π π π
Mnaweza kuhonga kwa hilo nawapeni vyura FC ubingwa.Kila kitu nyie hamuwezi bora sisi ndani tunaweza
Thats the spirit πTunatoboa...
Wachwezaji simba hakunaNawasiwasi na uwezo wa mgunda, mechi ngumu zote hajapata ushindi. Ukianza na Kmc, Azam, Yanga na leo singida. Tusipumbazwe na matokeo ya cafcl njia tuliyopitia ni nyepesi sana
Wapiii hawawawezi wala halua na tende uliona pass zao juzi hapo walipokua wanacheza na utopwix?Leo esparance de tunis mahasimu wao wanakipiga na mihogo fc. Aise pale rhades ni noma jooooo.....utapigwa mpira hatari japo masikia kocha alisharogwa na mzee mpili
Mdada simba kiungo ni uchafu kabisa January nunueni wachezajiWapiii hawawawezi wala halua na tende uliona pass zao juzi hapo walipokua wanacheza na utopwix?
Nakwambia dawa yako inachemka...Leo esparance de tunis mahasimu wao wanakipiga na mihogo fc. Aise pale rhades ni noma jooooo.....utapigwa mpira hatari japo masikia kocha alisharogwa na mzee mpili
Leo mmehongwa au mmehonga?Mnaweza kuhonga kwa hilo nawapeni vyura FC ubingwa.
Huyu ni mchezaji wa mid table teams kwakua ni mchezaji wakawaida ambae hana maarifa wala skills za kiuchezaji.nikwakua tu ana nguvu za kupambana ni moja ya mizigo mingi iliyojaa Simba kwasasa ambao wanatakiwa kuondoka kupisha watu wenye quality kubwa.Hadi kesho, Kibu hajawahi kuwa chagua sahihi pale mbele! jamaa sijui anashida gani anapokuwa na mpira! hatuliii
Hili hawalitaki wao wanawaza saa mbili tu. π πStudio tunaomba msimamo wa ligi
Ww pambana na kwanz na timu yako ya walamba lambalamba mjaze kwanza uwanja Simba ni kifaa kingine kaka yangu..hilo ni swala dogooMdada simba kiungo ni uchafu kabisa January nunueni wachezaji