FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Kikubwa hatujapoteza hivi vitimu vidogo vidogo ni kazi sana kuchezq navyo..Tushazoea kucheza na wakubwa wenzetu kina Esperance de tunis πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Leo esparance de tunis mahasimu wao wanakipiga na mihogo fc. Aise pale rhades ni noma jooooo.....utapigwa mpira hatari japo masikia kocha alisharogwa na mzee mpili
 
Nawasiwasi na uwezo wa mgunda, mechi ngumu zote hajapata ushindi. Ukianza na Kmc, Azam, Yanga na leo singida. Tusipumbazwe na matokeo ya cafcl njia tuliyopitia ni nyepesi sana
Wachwezaji simba hakuna
 
Leo esparance de tunis mahasimu wao wanakipiga na mihogo fc. Aise pale rhades ni noma jooooo.....utapigwa mpira hatari japo masikia kocha alisharogwa na mzee mpili
Wapiii hawawawezi wala halua na tende uliona pass zao juzi hapo walipokua wanacheza na utopwix?
 
Mbona kimataifa mnaishi kwa historia?
Ili mjifunze
WA0012.jpg
 
Hadi kesho, Kibu hajawahi kuwa chagua sahihi pale mbele! jamaa sijui anashida gani anapokuwa na mpira! hatuliii
Huyu ni mchezaji wa mid table teams kwakua ni mchezaji wakawaida ambae hana maarifa wala skills za kiuchezaji.nikwakua tu ana nguvu za kupambana ni moja ya mizigo mingi iliyojaa Simba kwasasa ambao wanatakiwa kuondoka kupisha watu wenye quality kubwa.
 
Furaha ya Yanga na huzuni ya Simba mwisho ni saa 3 usiku huu

Tutabadilishana [emoji23]
 
Back
Top Bottom