FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Aliyeelewa huo ugomvi kwenye Tunnel hadi mmoja wa Kocha kwenye Benchi la Ufundi la SBS kupigwa hadi kuanguka nini?

Yanga Vs SBS
na mimi nimeona kavaa tshirt ya rangi ya kijivu nyepesi, nahisi kina gamondi na msaidizi wake wamempa mkongoto
 
Aliyeelewa huo ugomvi kwenye Tunnel hadi mmoja wa Kocha kwenye Benchi la Ufundi la SBS kupigwa hadi kuanguka nini?

Yanga Vs SBS
Nadhani ni yule Mzee asiependa utani alimuwahi chap akamkwida ndoo.
 
Nimeona mtu akigaagaa chini kwenye lango la kuingia uwanjani nini kimetokea?

USSR
 
na mimi nimeona kavaa tshirt ya rangi ya kijivu nyepesi, nahisi kina gamondi na msaidizi wake wamempa mkongoto
Mbona balaa, ingekuwa Ulaya hao akina Gamboni ikibainika wametenda kosa hilo wangefungiwa na kutozwa Faini
 
Pale utopolo wanapojipa hati miliki ya kuwa mabingww na kuiweka Simba nafasi ya tatu...kweli nyie hamnazo...
Mazuzu pro Max...
 
Nadhani ni yule Mzee asiependa utani alimuwahi chap akamkwida ndoo.
Balaa 😅

Kusema kweli, ningekuwa nina maamuzi kwenye Klabu ya Simba ningemrudisha huyo Uchebe kama Kocha Mkuu

The guys is technical exceptional
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…