Alphamale wa JF
Member
- Sep 21, 2024
- 73
- 227
Refa au kocha we mzee?kuna refa katolewa ngeu kasizi chini lango la kuingila uwanja, ni uchebe au gamo ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa au kocha we mzee?kuna refa katolewa ngeu kasizi chini lango la kuingila uwanja, ni uchebe au gamo ??
11 dhidi ya 12Na nyinyi mlipofungwa mara 4 mfululizo mlikuwa wangapi uwanjani?
na mimi nimeona kavaa tshirt ya rangi ya kijivu nyepesi, nahisi kina gamondi na msaidizi wake wamempa mkongotoAliyeelewa huo ugomvi kwenye Tunnel hadi mmoja wa Kocha kwenye Benchi la Ufundi la SBS kupigwa hadi kuanguka nini?
Yanga Vs SBS
wanaume kaziniyanga leo hadi wanacheza netball uwanjani wamelowa vyupi
Atuokoe kivipi.....mkifungwa hiyo ni nyie... pambaneni na hali zenu...hapa hakuna wa kusema anaokolewa na mtu...mechi bado zipo nyingi sanaa... utopolo banaMakolo Kwa akili yao dogo wanategemea singida ndo awaokoe akishidwa utasikia bahasha imetembea.
Nadhani ni yule Mzee asiependa utani alimuwahi chap akamkwida ndoo.Aliyeelewa huo ugomvi kwenye Tunnel hadi mmoja wa Kocha kwenye Benchi la Ufundi la SBS kupigwa hadi kuanguka nini?
Yanga Vs SBS
Hilo ndio naloliona namimiHawa jamaa kama wataendelea hivi Kuna watu wataenda shirikisho Afrika tena mwakani [emoji28]
Ni kama unapitia maumivu makali eti!!Wanajifanya eti wamekamiana ili kuzuga ili hali matokeo yanajulikana
Msiwe na haraka kila timu itafungwa na YangaSasa kwanini msishinde wakati mnahong marefa, Simba ilifungwa kwa ajili ya Yanga kuhonga marefa
Neno "kwa ajili" naona sikuhizi linatumika vibaya...Sasa kwanini msishinde wakati mnahong marefa, Simba ilifungwa kwa ajili ya Yanga kuhonga marefa
simba ipi hii iliyo pigwa 5 ama ingineMkicheza na Simba huwa mna kitete kuanzia kupitia milango isiyo rasmi mpk kuhonga marefa...
Mbona balaa, ingekuwa Ulaya hao akina Gamboni ikibainika wametenda kosa hilo wangefungiwa na kutozwa Fainina mimi nimeona kavaa tshirt ya rangi ya kijivu nyepesi, nahisi kina gamondi na msaidizi wake wamempa mkongoto
Kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.11 dhidi ya 12
Balaa 😅Nadhani ni yule Mzee asiependa utani alimuwahi chap akamkwida ndoo.