FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Uzuri na nyinyi mlipokea hako kabahasha kamoja! Kwa hiyo msiwaonee wivu wenzenu.
Sasa msipromoti hyo mechi ionekane ina ushidani kumbe maelekezo tayari.

Inchi hii mechi ngumu kwenu ni moja tu.

Simba VS nyuma mwiko fc.mechi zingine zote bahasha na maagizo toka juu.
 
Vipigo kwa vyura vikianza vitakuwa mfululizo na mikoromo isiyokoma.
 
Unakata moto baada ya nusu saa,huna timu ww kushindana na Yanga dk 90.Jenga fitness ya wachezaji wako,kabla ya kuanza kujenga timu yako.
Usiwe na haraka mkuu wakati wa kukandwa utafika na utakandwa baraabara non stop.
 
Awa singida Kuna timu naiona inaenda kuwapa point watake wasitake, quality ya wachezaji walionao wanastahili kuwepo nafasi ya pili
Tukiacha ushabiki! Mechi ilikuwa ngumu kutokana na ubora wa timu zote mbili. Pacome ameamua matokeo kwa uwezo wake binafsi!
Metacha Mnata amefanya kazi kubwa sana keo. Na hata goli alilofungwa, hawezi kulaumiwa.

Story za kusema Singida Black Stars ni Yanga B, hazina mashiko! Maana ukweli umeonekana uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…