FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Itakuwepo
Sawa
20241019_193511.jpg
 
Vipigo kwa vyura vikianza vitakuwa mfululizo na mikoromo isiyokoma.
 
Unakata moto baada ya nusu saa,huna timu ww kushindana na Yanga dk 90.Jenga fitness ya wachezaji wako,kabla ya kuanza kujenga timu yako.
Usiwe na haraka mkuu wakati wa kukandwa utafika na utakandwa baraabara non stop.
 
Awa singida Kuna timu naiona inaenda kuwapa point watake wasitake, quality ya wachezaji walionao wanastahili kuwepo nafasi ya pili
Tukiacha ushabiki! Mechi ilikuwa ngumu kutokana na ubora wa timu zote mbili. Pacome ameamua matokeo kwa uwezo wake binafsi!
Metacha Mnata amefanya kazi kubwa sana keo. Na hata goli alilofungwa, hawezi kulaumiwa.

Story za kusema Singida Black Stars ni Yanga B, hazina mashiko! Maana ukweli umeonekana uwanjani.
 
Back
Top Bottom