FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Itakuwa ni kweli, maana wakati wanamchukua hakuwa anajulikana na watu walimbeza. Ila aliyemuona na kumpendekeza ashukuriwe sana.
 
Kwa Nini hizi mechi huwa zinachezwa usiku ili hali zile za Zanzibar zinachezwa jioni ya kawaida!?
Anyway itakuwa mechi ngumu itakayoamuliwa na "makosa ya kibinadam"
yanga huwa wanapenda mambo ya giza,na leo watagongwa vizuri
 
Mechi kama hii ilipaswa kuwa na mvuto wa Hali ya juu na kuwa kama Moja ya battle za kutazamwa sana kwenye ligi hii... Lakini kutokana na mambo yetu ya uswahilini uswahili sijui mara tawi mara bahasha, si ajabu ikawa ni vituko tu.
 
Hii game Yanga atashinda na mpira utapigwa mkubwa sana na baada ya hapo zitaenezwa stori ohhh Singida ni tawi... [emoji1]

Singida 0 Yanga 3
 
Mmmh hii mechi Kuna team kubwa hapo italiwa kichwa .
Ni na wasisi na yanga Leo akijitahidi sana basi droo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…