Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya nini tenaKuna shida!
Mmeshinda mmeshindishwa?Kama nyie mbumbumbu mmeshindwa kuwafunga mnategemea singida ndo waweze?
zikifika 5 kwa 5 zinazofata ni redHii mechi ina penati na red cad
Kwani nyinyi si ndugu?Kama nyie mbumbumbu mmeshindwa kuwafunga mnategemea singida ndo waweze?
Ana mkeka wake mfukoniRefa mwenyew kakasirika
Weka Ushahidi hapa ewe KoloAna mkeka wake mfukoni
https://jamii.app/JFUserGuide youHii inaitwa
Make it look real
najua moyoni unatamani iwe hivi ila singida atapigwa tu kama alivyo pigwa nyauHii inaitwa
Make it look real
Hamkosagi maneno,yanga mnaiogopa, mnajua muda wowote mtu anaachia bombaHii inaitwa
Make it look real
Mpira ni Kiwango , sio kusajili sajili wachezaji weeengi ukifikiri ndio Ushindi 🤣🤣🤣🤣Ana mkeka wake mfukoni