FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Kuna mtu alikua anabisha singida atamaliza na point 81, kazi anayo anatakiwa asifungwe mpaka msimu uishe, na droo Atoe mbili tu😃😃
 
Baba ni Baba tu !

Mwanaume amerudi kwenye nafasi yake kileleni
 
Kuna mtu alikua anabisha singida atamaliza na point 81, kazi anayo anatakiwa asifungwe mpaka msimu uishe, na droo Atoe mbili tu😃😃
Singida dirisha dogo alinabomolewa mbaya sana watu watachukua top players wote
 
Jamani alamsiki...nilijua tuu Utopwox hawawezi kukubali..maana walishaongea wakayamaliza[emoji2][emoji2][emoji2]
Kileleni kwema...
Makolo ndo muuzaji wa mechi Kwa yanga maana Hadi sasa kashachangia point 3 makolo wazee wakachizi.
 
Back
Top Bottom