matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mukiambiwa nyinyi ni mbumbumbu munarusha ngumi.yani uwezo wa onana = saido = kenedy = baleke = Zero , hawa wachezaji kuendelea kucheza simba inafikirisha sana.
ndo huyu alimkaba Ronaldo kweli au walimbadili airport? [emoji38]Kumsajili huyu ..... ushauri tumepewa na Ronaldo
Hakuna timu hapo ni kikundu tu cha waimba kwaya.Simba bado haitengenezi nafasi, tatizo nn?
Nakazia [emoji23][emoji23]Mechi ikaisha tunaomba utupe Takwimu za kihasibu itasaidia sana ..
Au Ronaldo nae kiwango kimeishando huyu alimkaba Ronaldo kweli au walimbadili airport? [emoji38]
Uwezo wa kawaida ukijumlisha pressure ya mashabiki. Wanacheza na hofu kubwaWachezaji wa simba sijui huwa wana matatizo gani! Yaani karibu kila mechi wamelegea kinoma wanadondoka hovyo!
Labda Ronaldo wa Yombo kwa limboa.Onana si ndo kawa Ronaldo siku hizi? au
Refa sikia kilio chetu sisi wenye sare nyekundu tunarudi kwa kuogeleaREFA MALIZA MPIRA TUNAKAA MBALI
Hamna upgrade ilofanyika kwa huyu Sarr.Huyu Sarr kawaida sana ni kama tu akina Kapama.
Kila anayetazama mpira atakubaliana na hiki unachosema.Singida wakishambulia unaona uwezekano wa kufunga au kukosakosa.
Simba wakishambulia unaona uwezekano wa kunyang'anywa mpira au mpira kurudishwa nyuma tena.