matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Singida wakishambulia unaona uwezekano wa kufunga au kukosakosa.
Simba wakishambulia unaona uwezekano wa kunyang'anywa mpira au mpira kurudishwa nyuma tena.
Simba wakishambulia unaona uwezekano wa kunyang'anywa mpira au mpira kurudishwa nyuma tena.