FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Singida wakishambulia unaona uwezekano wa kufunga au kukosakosa.
Simba wakishambulia unaona uwezekano wa kunyang'anywa mpira au mpira kurudishwa nyuma tena.
 
Singida hawaaminiki walivyo mandezi wanaweza kusawazishiwa na wakaongezwa
 
toka lini singida wakaaminika, wametangulia na baskeli ya miti
 
Niliposikia Onana anatafutwa na timu 3 za Ufaransa nikajua wamechanganya na Onana wa Man U.
 
Back
Top Bottom