FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

nani kazuiwa mkuu
 
Mukiambiwa nyinyi ni mbumbumbu munarusha ngumi.
Hivi huyu Beleke sindio huwa munatuamisha kua ni mchezaji mzuri hapa kila siku!
We kweli utopolo, umeaminishwa kila siku na nani wakati hapa leo unaona anakosolewa?
 
Hamna upgrade ilofanyika kwa huyu Sarr.
Tumpe Muda, Ila tatizo naliona kwenye positioning. Haijulikani Nani DM Nani HM. Kama lengo lilikuwa ni kuchezesha Double pivot basi Ngoma na Sarr bado hawajaelewana.
 
Kila anayetazama mpira atakubaliana na hiki unachosema.
Muda wanaotumia singida kufika golini kwa simba ni mfupi sana. Ila simba wanatumia muda mrefu sana kufika golini mwa singida.

Pia kiwango cha kujituma cha Singida kiko juu sana mara mbili ya wachezaji wa Simba ukiacha Ngoma.

Wakibadilika bado wanaweza kutoboa. Ila wakirudi hivihivi watafungwa hata tatu.
 
Babu saido hua najiuliza kwa nini hua anaanza first eleven
 
TUJIKUMBUSHE

Updates

Kolo 0 .......1 singida el de wananchi

Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu

Simba [emoji250] [emoji250] [emoji250]. Guvu moya
 
Sasa ni mapumziko.....


Makolo...0 ......1..singida el de wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…