OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mchambuzi anasema kweli, Simba yanacheza majina badala ya uwezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kazuiwa mkuuHaya ndio mambo ya uswahili nisiyoyaelewa
Unakataza vipi mchezaji asicheze dhidi yako eti kisa tu umemtoa kwa mkopo?
Na controversial inapokuja ni pale ambapo mechi zilizopita mlipokutana, huyo amecheza bila kizuizi.
Kuna mahala mpira wetu tunaukosea kwasababu hatupati kipimo halisi cha ubora kama wachezaji tunaowaona tishio wanazuiwa
We kweli utopolo, umeaminishwa kila siku na nani wakati hapa leo unaona anakosolewa?Mukiambiwa nyinyi ni mbumbumbu munarusha ngumi.
Hivi huyu Beleke sindio huwa munatuamisha kua ni mchezaji mzuri hapa kila siku!
MwasibuMchambuzi anasema kweli, Simba yanacheza majina badala ya uwezo
Kyombo na Onyangonani kazuiwa mkuu
Tumpe Muda, Ila tatizo naliona kwenye positioning. Haijulikani Nani DM Nani HM. Kama lengo lilikuwa ni kuchezesha Double pivot basi Ngoma na Sarr bado hawajaelewana.Hamna upgrade ilofanyika kwa huyu Sarr.
Viongozi fala sana.Hamna upgrade ilofanyika kwa huyu Sarr.
Muda wanaotumia singida kufika golini kwa simba ni mfupi sana. Ila simba wanatumia muda mrefu sana kufika golini mwa singida.Kila anayetazama mpira atakubaliana na hiki unachosema.
Ronaldo wa KigurunyembeHuyu Sarr ndio alimkaba Ronaldo?
Ushinfil= Ushindi.Mmmh sidhanii, sioni ari ya kutafuta ushinfil
Nani kacheza vizuri leo?Kwa huyu Dulla Mbabe tumepigwa.View attachment 2867710
mianguko yake ina mchango kwa timu. [emoji1]Babu saido hua najiuliza kwa nini hua anaanza first eleven
Ni sawa kubwa alie changamka.Huyu Sarr kawaida sana ni kama tu akina Kapama.