Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Vipi upande wa mikimbio?🤣Tumpe Muda, Ila tatizo naliona kwenye positioning. Haijulikani Nani DM Nani HM. Kama lengo lilikuwa ni kuchezesha Double pivot basi Ngoma na Sarr bado hawajaelewana.
Nimeshindwa kuelewa kama mashindano haya nayo yanatambulika na CAF maana hili ni kama Bonanza? Kuzuiana tena kunatoka wapi Jamani?Kyombo na Onyango
Linapokuja swala la ushindani watu hiyo hawajaliNimeshindwa kuelewa kama mashindano haya nayo yanatambulika na CAF maana hili ni kama Bonanza? Kuzuiana tena kunatoka wapi Jamani?
Kiungo hasifiwi Kwa mikimbio Mkuu.Vipi upande wa mikimbio?[emoji1787]
Mitembeo?Kiungo hasifiwi Kwa mikimbio Mkuu.
Uyu atakuwa anagawana mapato yake na nyekiti ya bodi! Sioni umuhimu wake hapo Simba,yeye muda wote anaikaba timu yake!!Saido akishika mpira mara 30, lazima aanguke mara 28.
Hakuna namna mkuu.Nipo mkuu, makazi magumu yanani fanya nipotee.
Wewe tenaa siku hizi umeamua kuwa wazi, baada ya watu kukushtukiaa, mzee wa neutral.Niliposikia Onana anatafutwa na timu 3 za Ufaransa nikajua wamechanganya na Onana wa Man U.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unahisi najariii bas, tabu unayo wewee.Ushinfil= Ushindi.
Kunywa maji mbarikiwa.
Huyu wa Miso misondo fc hata Kitayose hapati nambaWewe tenaa siku hizi umeamua kuwa wazi, baada ya watu kukushtukiaa, mzee wa neutral.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF jamani woiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu wa Miso misondo fc hata Kitayose hapati namba