Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Vipi upande wa mikimbio?🤣Tumpe Muda, Ila tatizo naliona kwenye positioning. Haijulikani Nani DM Nani HM. Kama lengo lilikuwa ni kuchezesha Double pivot basi Ngoma na Sarr bado hawajaelewana.