FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Mbona dk za nyongeza zilikuwa 8,nadhani azam walizingua kwenye kuweka
 
Mbona hamtoi maelezo ya kueleweka kila mtu anaongea nusu nusu mnazidi kuniacha na maswali mengi

Goli limefungwa katika mazingira gani?

Offside au?
Kona ilikuwa ya mchongo
 
Walalamikaji wengi wapo kihisia hata nilipowaomba ufafanuzi wa kilichotokea hakuna aliyejitokeza kutoa sababu ya maana

Hii inafanya ionekane watu ambao hawajaona mpira washindwe kujua nini kimefanyika

Na pointi hiyo inapoteza maana halisi ya live updates kama vitu sensitive kama hivi vinaishia gizani na watu tunaowategemea kutoa ufafanuzi wapo kihisia
 
Soka letu kivyetuvyetu.
Mkuu tuwe tu wakweli hivi ukiangalia ulichoandika hapo unakuwa umejibu swali langu?

Ngoja nitaitafuta clip ya marejeo kutoka Azam maana mlioangalia mmeshindwa kuelezea tukio
 
Mkuu tuwe tu wakweli hivi ukiangalia ulichoandika hapo unakuwa umejibu swali langu?

Ngoja nitaitafuta clip ya marejeo kutoka Azam maana mlioangalia mmeshindwa kuelezea tukio
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…