FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Mbona dk za nyongeza zilikuwa 8,nadhani azam walizingua kwenye kuweka
 
Walalamikaji wengi wapo kihisia hata nilipowaomba ufafanuzi wa kilichotokea hakuna aliyejitokeza kutoa sababu ya maana

Hii inafanya ionekane watu ambao hawajaona mpira washindwe kujua nini kimefanyika

Na pointi hiyo inapoteza maana halisi ya live updates kama vitu sensitive kama hivi vinaishia gizani na watu tunaowategemea kutoa ufafanuzi wapo kihisia
 
Soka letu kivyetuvyetu.
Mkuu tuwe tu wakweli hivi ukiangalia ulichoandika hapo unakuwa umejibu swali langu?

Ngoja nitaitafuta clip ya marejeo kutoka Azam maana mlioangalia mmeshindwa kuelezea tukio
 
Mkuu tuwe tu wakweli hivi ukiangalia ulichoandika hapo unakuwa umejibu swali langu?

Ngoja nitaitafuta clip ya marejeo kutoka Azam maana mlioangalia mmeshindwa kuelezea tukio
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom