Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Okhuoni babu anajiangusha tu, faulo hazina kichwa wala miguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okhuoni babu anajiangusha tu, faulo hazina kichwa wala miguu
Kona ilikuwa ya mchongoMbona hamtoi maelezo ya kueleweka kila mtu anaongea nusu nusu mnazidi kuniacha na maswali mengi
Goli limefungwa katika mazingira gani?
Offside au?
😆😆😆Refa vp maliza mpira huooooooo...... tukafanye shughuli nyingine.
ko wakiongeza zilizo potea 30 zinakuwa bado hadi refa uongeze zako 10 jumla wacheze 100 ndo hakiMpira dk tisini wewe unataka utumie ujanja ucheze dk sitini!!!
Iweke sas ikae poa.Nadhani waandaji walitaka Simba au Yanga watinge fainali ili kuongeza mvuto na hamasa.
Kiukweli haijakaa poa.
Hii 100M ni ya Simba mkuuHii mentality ndio huwa inawamaliza mnaanza kuongea utumbo. Huu ni mpira wa miguu yoyote anaweza kufungwa na sio jambo la ajabu kufungwa. Acheni ushamba nyie
Kona ni ya refa, sababu kapiga mchezaji wa simba kipa kadakia nje ila refa kaweka konaHata kona yenyewe ni kama ya mchongo flani
Hapana. Rasmi ziliongezwa dakika sita tu, lakini kabla ya kuongezwa dakika Azam Tv walijiongeza kwa kuandika kimakosa dakika 8, walipogundua ni makosa wakarekebisha.Ziliongezwa Nane
Azam wamekosea kuandika
Mkuu tuwe tu wakweli hivi ukiangalia ulichoandika hapo unakuwa umejibu swali langu?Soka letu kivyetuvyetu.
Nadhani waandaji walitaka Simba au Yanga watinge fainali ili kuongeza mvuto na hamasa.
Kiukweli haijakaa poa.
🤣🤣🤣Mkuu tuwe tu wakweli hivi ukiangalia ulichoandika hapo unakuwa umejibu swali langu?
Ngoja nitaitafuta clip ya marejeo kutoka Azam maana mlioangalia mmeshindwa kuelezea tukio