FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Singida wakitokewa watajutia dk walizotumia kupoteza muda, mtu unagongwa kidgo tu unalala nusu saa nzima .
Imeisha hiyo.
Kwa kifupi tokea mashindano haya yanaanza sijawahi hata mara moja kusema kitu kisitokee
 
Singida wakitolewa watajutia dk walizotumia kupoteza muda, mtu unagongwa kidgo tu unalala nusu saa nzima .
Kwa hisani ya refa ata wasinge poteza mda .malkia ilkua lazima atafutiwe goal kwa nguvu zote
 
Hatuna timu mkuu! Hakuna project ya maana inayoonekana! Ni kubahatisha tu
Nachosikitika mimi kimataifa hapa karibuni tumejenga cv nzuri kiasi hivo nasisi tunatazamwa alafu kwa sasa ni ana ana doo tu
 
Ngapi ngapip
 
Aisee penati hizo walizokosa Singida walipaisha au kipa alicheza?
 
Swali la msingi kwanini refa hakumaliza mpira mudda ukipofika?

Izo dakika alizoongeza alitoa wapi nyie makolo?
 
Wewe kum kweli, unaweka live na huweki update mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…