FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Singida wakitokewa watajutia dk walizotumia kupoteza muda, mtu unagongwa kidgo tu unalala nusu saa nzima .
Imeisha hiyo.
Kwa kifupi tokea mashindano haya yanaanza sijawahi hata mara moja kusema kitu kisitokee
 
Hatuna timu mkuu! Hakuna project ya maana inayoonekana! Ni kubahatisha tu
Nachosikitika mimi kimataifa hapa karibuni tumejenga cv nzuri kiasi hivo nasisi tunatazamwa alafu kwa sasa ni ana ana doo tu
 
Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.

Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.

Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?

View attachment 2867638
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2867641
Kikosi cha Singida FG kinachoanza

- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini

- Mpira Umeanza

- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi

- Goool Rupia anawatanguliza Simba

- Bado Singida wanaliandama lango la Simba

- Dakika ya 40 bado mambo magumu kwa Simba

HT: Singida FG 1 - 0 Simba SC

Kipindi cha pili kimeanza

Dakika ya 50 simba wanapata faulo

Dakika ya 70 bado mambo magumu kwa Simba

Dakika ya 75 Simba inashambulia Singida wanalinda

Dakika ya 80 bado Singida wanaongoza

Dakika ya 90 Singida 1 - 0 Simba

Dakika ya 90 +8 Ngoma anasawazisha hapa

Ni muda wa penati kwa sasa
Ngapi ngapip
 
Aisee penati hizo walizokosa Singida walipaisha au kipa alicheza?
 
Wewe kum kweli, unaweka live na huweki update mjinga
 
Back
Top Bottom