Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
NakubaliTupewe tu 100M yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakubaliTupewe tu 100M yetu
Imeisha hiyo.Singida wakitokewa watajutia dk walizotumia kupoteza muda, mtu unagongwa kidgo tu unalala nusu saa nzima .
zilifidiwa 6 refa hizi nyingine alipata wapiSingida wakitolewa watajutia dk walizotumia kupoteza muda, mtu unagongwa kidgo tu unalala nusu saa nzima .
Kwa hisani ya refa ata wasinge poteza mda .malkia ilkua lazima atafutiwe goal kwa nguvu zoteSingida wakitolewa watajutia dk walizotumia kupoteza muda, mtu unagongwa kidgo tu unalala nusu saa nzima .
Nachosikitika mimi kimataifa hapa karibuni tumejenga cv nzuri kiasi hivo nasisi tunatazamwa alafu kwa sasa ni ana ana doo tuHatuna timu mkuu! Hakuna project ya maana inayoonekana! Ni kubahatisha tu
Sindiga wamekosa 2.Updates za penat jmn wengine tunabandua watoto wa watu huku..
Zishapigw mbili mbili Singida kakosa zote Simba kapata zoteUpdates za penat jmn wengine tunabandua watoto wa watu huku..
Ngapi ngapipLeo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.
Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.
Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?
View attachment 2867638- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2867641
Kikosi cha Singida FG kinachoanza
- Mpira Umeanza
- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi
- Goool Rupia anawatanguliza Simba
- Bado Singida wanaliandama lango la Simba
- Dakika ya 40 bado mambo magumu kwa Simba
HT: Singida FG 1 - 0 Simba SC
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 50 simba wanapata faulo
Dakika ya 70 bado mambo magumu kwa Simba
Dakika ya 75 Simba inashambulia Singida wanalinda
Dakika ya 80 bado Singida wanaongoza
Dakika ya 90 Singida 1 - 0 Simba
Dakika ya 90 +8 Ngoma anasawazisha hapa
Ni muda wa penati kwa sasa
Ili Singida wapate bao la pilizilifidiwa 6 refa hizi nyingine alipata wapi
Una BEJI ya FIFA? kama hauna TAWAZA hayo maembe ukae pale utulie au ukalale.zilifidiwa 6 refa hizi nyingine alipata wapi
Unaweza kuongeza dk 6 ila ndani ya hizo dk 6 wachezaji bado wanapoteza muda kwahiyo refa anajiongeza.zilifidiwa 6 refa hizi nyingine alipata wapi
Singida wanapiga penalty ya 3. WanapataSindiga wamekosa 2.
Simba kapata 2.
Penalty ya Shomari inadakwa
Wewe kum kweli, unaweka live na huweki update mjingaLeo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.
Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.
Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?
View attachment 2867638- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2867641
Kikosi cha Singida FG kinachoanza
- Mpira Umeanza
- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi
- Goool Rupia anawatanguliza Simba
- Bado Singida wanaliandama lango la Simba
- Dakika ya 40 bado mambo magumu kwa Simba
HT: Singida FG 1 - 0 Simba SC
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 50 simba wanapata faulo
Dakika ya 70 bado mambo magumu kwa Simba
Dakika ya 75 Simba inashambulia Singida wanalinda
Dakika ya 80 bado Singida wanaongoza
Dakika ya 90 Singida 1 - 0 Simba
Dakika ya 90 +8 Ngoma anasawazisha hapa
Ni muda wa penati kwa sasa
Makosa yalikuwa kwenye kona na sio dakikaUnaweza kuongeza dk 6 ila ndani ya hizo dk 6 wachezaji bado wanapoteza muda kwahiyo refa anajiongeza.
Siku zinatofautianaMoja ya wapigaji penati wazuri Tz Kapombe, siku hizi sijui kawaje.