FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Ila simba Tumebewa na Tren ya Refa leo Tungewaachia tu Singida Wacheze Sipendagi Dhulma mimi
 
Naamini refa alikuwa anajua nyongeza dk 8
Refa alijuaje ni dakika 8 ndio zimeongezwa wakati kibao cha dakika kilionesha ni dakika 6?

Hata hivyo hizo dakika 8 zilikwisha, mbona hakumaliza mpira?

Refa alijuaje ile ni kona wakati watu wote waliona haikuwa kona na lines man alisema ni goal kick?
 
Simba imeenda fainali.
 
Reactions: BRN
Nimeiona clip aisee, ile kona ina walakini
 
Ashakula chake hapo..siyo bure,
Hata mtu asiye mchezaji hawezi kufanya vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…