FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

hili swali na Mimi Ndo nilitaka kuuliza vipi kama Singida wangeongeza Goal la Pili Bado tungesema Hvyo?
Au kwa sababu simba kasawazisha..?
Baadhi ya mashabiki wa kibongo ni kama mambuzi tu.

Kwenye ile mechi kati ya Simba Sc na Wydad kule ugenini ziliongezwa dakika ngapi? Na Simba Sc akaja kufungwa dakika ya ngapi?

Tulivyolalamika mashabiki wa Yanga Sc waliponda sana, ila leo kwakua haiko upande wao ndio wanaona tatizo?

Mimi sioni tatizo lolote kwa refa.
 
hili swali na Mimi Ndo nilitaka kuuliza vipi kama Singida wangeongeza Goal la Pili Bado tungesema Hvyo?
Au kwa sababu simba kasawazisha..?
singida angeongeza bado hakuna shida kwa sababu alikuwa anaongoza na alikuwa na faida

simba akipata goli alikuwa anajiokoa huoni utofauti hapo
 
Inauma sana. Hahaha
 
Reactions: BRN
Mchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.
 
Mbona dk za nyongeza zilikuwa 8,nadhani azam walizingua kwenye kuweka
Dakika za nyongeza za kamisaa zilikuwa ni sita tu, na ndio kibao kilionyesha uwanjani. Azam walianza kwa kuweka kusema ni dakika 8 (sijui walielezwa na nani?) lakini kibao kilipoonyesha ni dakika sita na wao wakabadilisha na kuandika ni dakika 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…